Jumatano, 25 Septemba 2013

(INTERVIEW) SHEDY CLEVER AONGEA KUHUSU DAYNA NA ALIVYOSHTAKIWA KUHUSU BEAT;


Kama hukuwahi kupata kuiskia Interview ya Shedy Clever producer wa ngoma nying tuu, ikiwemo na NUMBER ONE ya DIAMOND ambayo imesababisha utata, mpaka kufikia msanii wa kike DAYNA kwenda kumshtaki producer huyo kunako husika, basi sasa Hichi ndio alichoongea SHEDY baadaa ya kupata Barua ya mashtaka:

TOA MAONI YAKO HAPA:

Jumanne, 24 Septemba 2013

JOSE CHAMILLION ANUNUA GARI YA MILLION 100 CASH;

Mwanamusiki wa east afrika kutokea UGANDA JOSE CHAMILLION, ambae hivi sasa amekua na mpango wa kurudi kwenye nyumba yake ya mwanzo iliyokuepo Seguku nchini humo,;
Lakini kikubwa Star huyo wa Badilisha na Valu valu, ambae pia anaishi na familia yake nchini UG wiki iliyopita alinunua gari mpya aina ya.......

NEW MUSIC: MAD ICE - WASI WASI


Sikiliza hapa ngoma mpya ya mkongwe MAD ICE:
TOA MAONI YAKO HAPA:

Jumatatu, 23 Septemba 2013

MSANII LINEX SUNDAY ANAUGULIWA NA MAMA AKE MZAZI:

Hit maker wa song mbali mbali zikiwemo mama halima , boda boda,ambae pia ni mmoja mwa miongoni mwa wasanii wanao unda KIGOMA ALL STAR, LINEX SUNDAY a.k.a MJEDA yupo kwenye wakti mgum kwa sasa kutokana na kuuguliwa na mama yake mzazi. kupitia Istagram leo Linex alishare picha akiwa na pamoja na mama ake na kuandika

Jumapili, 22 Septemba 2013

MTOTO AZALIWA AKIWA NA MENO KINYWANI;

Katika hali ya kushanagaza  iliyotokea katika dunia na hii pia itakua ni moja wapo ya mtoto aliyezaliwa akiwa na meno yake  mawili tayari mdomoni. Mtoto EVA aliyezaliwa katika hospital ya James Cook University Hospital ya Middlesbrough, Mama wa mtoto huyo bi Vicki Griffiths miaka 26,
alisema nilikua nataka kumnyonyesha lakin nilipoona meno tu nikaacha kwa haraka na hafla, sifikirii km nitalaumika kwa ilo'' alisema mama huyo alipo kua akiongea na kituo kimoja cha T.v:
Famili ya bi Vicki imekua na wasiwasi kua huwenda mtoto Eva aneweza akawa anendelea kuota meno kila kukicha.
Mtoto Eva alizaliwa tarehe 8 Septemberna na kwa sasa yupo kwao, japo wazazi wake waliulizia kuhusu kuyang'oa meno hayo lkn uwezekano huo umefutwa kwani wameambiwa hamna tatizo lolote lile wamuache tuu:  
TOA MAONI YAKO HAPA: