Jumanne, 24 Septemba 2013

JOSE CHAMILLION ANUNUA GARI YA MILLION 100 CASH;

Mwanamusiki wa east afrika kutokea UGANDA JOSE CHAMILLION, ambae hivi sasa amekua na mpango wa kurudi kwenye nyumba yake ya mwanzo iliyokuepo Seguku nchini humo,;
Lakini kikubwa Star huyo wa Badilisha na Valu valu, ambae pia anaishi na familia yake nchini UG wiki iliyopita alinunua gari mpya aina ya.......

  Mercedes Benz Coupe SEC 500 series na ndio anayo drive kwa sasa,
Mercedes Benz

TOA MAONI YAKO HAPA:

0 comments:

Chapisha Maoni