Jumatano, 25 Septemba 2013

(INTERVIEW) SHEDY CLEVER AONGEA KUHUSU DAYNA NA ALIVYOSHTAKIWA KUHUSU BEAT;


Kama hukuwahi kupata kuiskia Interview ya Shedy Clever producer wa ngoma nying tuu, ikiwemo na NUMBER ONE ya DIAMOND ambayo imesababisha utata, mpaka kufikia msanii wa kike DAYNA kwenda kumshtaki producer huyo kunako husika, basi sasa Hichi ndio alichoongea SHEDY baadaa ya kupata Barua ya mashtaka:

TOA MAONI YAKO HAPA:

Jumanne, 24 Septemba 2013

JOSE CHAMILLION ANUNUA GARI YA MILLION 100 CASH;

Mwanamusiki wa east afrika kutokea UGANDA JOSE CHAMILLION, ambae hivi sasa amekua na mpango wa kurudi kwenye nyumba yake ya mwanzo iliyokuepo Seguku nchini humo,;
Lakini kikubwa Star huyo wa Badilisha na Valu valu, ambae pia anaishi na familia yake nchini UG wiki iliyopita alinunua gari mpya aina ya.......

NEW MUSIC: MAD ICE - WASI WASI


Sikiliza hapa ngoma mpya ya mkongwe MAD ICE:
TOA MAONI YAKO HAPA:

Jumatatu, 23 Septemba 2013

MSANII LINEX SUNDAY ANAUGULIWA NA MAMA AKE MZAZI:

Hit maker wa song mbali mbali zikiwemo mama halima , boda boda,ambae pia ni mmoja mwa miongoni mwa wasanii wanao unda KIGOMA ALL STAR, LINEX SUNDAY a.k.a MJEDA yupo kwenye wakti mgum kwa sasa kutokana na kuuguliwa na mama yake mzazi. kupitia Istagram leo Linex alishare picha akiwa na pamoja na mama ake na kuandika

Jumapili, 22 Septemba 2013

MTOTO AZALIWA AKIWA NA MENO KINYWANI;

Katika hali ya kushanagaza  iliyotokea katika dunia na hii pia itakua ni moja wapo ya mtoto aliyezaliwa akiwa na meno yake  mawili tayari mdomoni. Mtoto EVA aliyezaliwa katika hospital ya James Cook University Hospital ya Middlesbrough, Mama wa mtoto huyo bi Vicki Griffiths miaka 26,
alisema nilikua nataka kumnyonyesha lakin nilipoona meno tu nikaacha kwa haraka na hafla, sifikirii km nitalaumika kwa ilo'' alisema mama huyo alipo kua akiongea na kituo kimoja cha T.v:
Famili ya bi Vicki imekua na wasiwasi kua huwenda mtoto Eva aneweza akawa anendelea kuota meno kila kukicha.
Mtoto Eva alizaliwa tarehe 8 Septemberna na kwa sasa yupo kwao, japo wazazi wake waliulizia kuhusu kuyang'oa meno hayo lkn uwezekano huo umefutwa kwani wameambiwa hamna tatizo lolote lile wamuache tuu:  
TOA MAONI YAKO HAPA:

(PICHA) CLOUD 112 ATOA PICHA DAY 3 ZA BEHIND THE SCENE ZA FILAMU YAKE YA DR MAX:


(PICHA) TWITTER WALIZO ANDIKA ''JIHADI SOMALIA'' ALSHABAB KUHUSU SHAMBULIO LA KENYA:

Hii ni account inayohusishwa na alshabab, tangu jana imekua ikitweet kuhusiana na hali ya KENYA na shambulio la kigaidi, cheki hizi Twitter na zingine hapa chini-;

(PICHA) SULTAN KING ATEMBELEA CLUB YA WEST HAM UNITED U.K;

Msanii wa music wa kizazi kipya TANZANIA anaendelea kuiwakilisha vyema ZANZIBAR SULTAN KING, ambae kwa sasa yupo U.K kwa ajili ya show kadhaa pamoja na kuishughulikia familia yake ambayo inaishi uko kwa sasa,;
Hivi majuzi SULTAN alipata nafasi ya kuitembelea CLUB YA WEST HAM UNITED ambayo ipo nchini humo, lakini pia mpaka sasa hajafunguka zaidi kilicho mpeleka hapo na kuendelea kusema kua ni Suprise muda ukifika atajulisha mashabiki wake,hapa hapa house 255,picha za kilichojiri pamoja na maelezo kwa njia ya suati:
Team House 255 tupo tunasubiria kwa hamu kujua:
cheki hapa baadhi ya picha nyengine akiwa kwenye Jengo hilo:

Ijumaa, 20 Septemba 2013

LULU AMEFANYA FILAMU MOJA NA MAMA KANUMBA, CHECK HILI KAVA NA ALICHOANDIKA:

Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael(Lulu) amecheza filamu na mama wa aliyekuwa msanii wa Bongo Movies,marehemu Steven Kanumba,Frolah Mtegoa iitwayo Mapenzi ya Mungu ambayo inatarajiwa kutoka hivi karibuni.

 Lulu amepost kava la filamu hiyo kwenye mtandao wa instragram na kuandika kuwa …MAPENZI YA MUNGU....ELIZABETH MICHAEL + FLORA MTEGOHA(MAMA KANUMBA)....STAY TUNED …..
Huku baadhi ya watu wakimpongeza na kumwambia hope 448 hongera mungu azid kukuangazia .amani yake iwe juu yako,

 Hii ni mara ya kwanza Lulu kufanya filamu na Mama Kanumba tangu alipopata matatizo ya kesi ya mauaji ya msanii Kanumba na pengine kuibua maswali kwa mashabiki ni nini kimeongelewa ndani ya filamu hiyo kati ya mtu na ‘........’.
 Filamu hiyo pia imemshirikisha msanii wa Bongo Fleva,Linna Sanga. TOA MAONI YAKO HAPA:

Jumatano, 18 Septemba 2013

(Official Music Video) Diamond Platnumz - Number One


(DOWNLOAD AUDIO) RICH MAVOKO - ROHO YANGU


New audio ya rich mavoko download hapa:

NISHA AWAPIGA TAFU WASANII CHIPUKIZI KIMTINDO HUU HAPA;

MSANII wa filamu za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ jana aliendesha zoezi la kuwafanyia usahili wasanii chipukizi ambapo alikuwa akitafuta wasanii 50 kwa ajili ya kufanya nao kazi katika kampuni yake ya Nisha’s Film Production.Zoezi hilo lilifanyika katika ukumbi wa Vijana, Kinondoni jijini Dar es Salaam ambapo majaji waliokuwa wakiwafanyia usahili wasanii hao ni, Wastara Juma, Idrisa Makupa ‘Kupa’ Jimmy Mafufu, Benny Kinyaiya na Nisha mwenyewe.