Jumapili, 22 Septemba 2013

MTOTO AZALIWA AKIWA NA MENO KINYWANI;

Katika hali ya kushanagaza  iliyotokea katika dunia na hii pia itakua ni moja wapo ya mtoto aliyezaliwa akiwa na meno yake  mawili tayari mdomoni. Mtoto EVA aliyezaliwa katika hospital ya James Cook University Hospital ya Middlesbrough, Mama wa mtoto huyo bi Vicki Griffiths miaka 26,
alisema nilikua nataka kumnyonyesha lakin nilipoona meno tu nikaacha kwa haraka na hafla, sifikirii km nitalaumika kwa ilo'' alisema mama huyo alipo kua akiongea na kituo kimoja cha T.v:
Famili ya bi Vicki imekua na wasiwasi kua huwenda mtoto Eva aneweza akawa anendelea kuota meno kila kukicha.
Mtoto Eva alizaliwa tarehe 8 Septemberna na kwa sasa yupo kwao, japo wazazi wake waliulizia kuhusu kuyang'oa meno hayo lkn uwezekano huo umefutwa kwani wameambiwa hamna tatizo lolote lile wamuache tuu:  
TOA MAONI YAKO HAPA:

0 comments:

Chapisha Maoni