Jumapili, 22 Septemba 2013

(PICHA) SULTAN KING ATEMBELEA CLUB YA WEST HAM UNITED U.K;

Msanii wa music wa kizazi kipya TANZANIA anaendelea kuiwakilisha vyema ZANZIBAR SULTAN KING, ambae kwa sasa yupo U.K kwa ajili ya show kadhaa pamoja na kuishughulikia familia yake ambayo inaishi uko kwa sasa,;
Hivi majuzi SULTAN alipata nafasi ya kuitembelea CLUB YA WEST HAM UNITED ambayo ipo nchini humo, lakini pia mpaka sasa hajafunguka zaidi kilicho mpeleka hapo na kuendelea kusema kua ni Suprise muda ukifika atajulisha mashabiki wake,hapa hapa house 255,picha za kilichojiri pamoja na maelezo kwa njia ya suati:
Team House 255 tupo tunasubiria kwa hamu kujua:
cheki hapa baadhi ya picha nyengine akiwa kwenye Jengo hilo:




SULTAN KING, MKE WAKE NA MWANAE:

TOA MAONI YAKO HAPA:

0 comments:

Chapisha Maoni