Jumatatu, 23 Septemba 2013

MSANII LINEX SUNDAY ANAUGULIWA NA MAMA AKE MZAZI:

Hit maker wa song mbali mbali zikiwemo mama halima , boda boda,ambae pia ni mmoja mwa miongoni mwa wasanii wanao unda KIGOMA ALL STAR, LINEX SUNDAY a.k.a MJEDA yupo kwenye wakti mgum kwa sasa kutokana na kuuguliwa na mama yake mzazi. kupitia Istagram leo Linex alishare picha akiwa na pamoja na mama ake na kuandika


''Get well soon malaika Mama @Mama Sunday Mjeda#Mungu anakuona''
Wana HOUSE 255 blog na mashabiki wote wa music wa Linex wanamuuombea mama mzazi wa Linex apone haraka: 
aaamin


TOA MAONI YAKO HAPA:

0 comments:

Chapisha Maoni